MUITO SWAGG
Saturday, July 6, 2013
ant c: Video: Psquare wamekamilisha yao tena watupia styl...
ant c: Video: Psquare wamekamilisha yao tena watupia styl.e mpya..
:
Psquare wamefanya yao kwa mara nyingine tena, baada ya kuachia bonge la hit "Personally" huku video yake ikiwaonyesha kutupia styles za kudance tulizoachiwa urithi na King wa Pop (Michael Jackson). cheki na video pamoja na audio hapo chini
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment